Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Baada ya ushindi wa tuzo mbili… hii ni post nyingine ya Ray Instagram

Ray 2Ni post ya mwigizaji staa wa Tanzania Ray ‘Vicent Kigosi’ instagram ambayo ni baada ya kupata tuzo mbili juzi ambazo ni Life achievement Award na Best Director.
Ameandika >>> ‘Kila kwenye nia kuna njia, tulivyoanza tulionekana kama wauza sura tu lakini sasa hivi naweza sema kuwa tunayafaidi matunda tuliyoyavumilia kwa muda mrefu sana, naweza kuthubutu kusema kuwa sekta ya bongo movie ndio sekta ya bongo iliyotoa ajira kwa vijana wengi sana kuliko sekta yoyote
Ray amemalizia kwa kusema ‘Mungu ibariki bongo movie, Mungu ibariki kazi ya mikono yote’
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top