Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Picha za Model Maarufu Bongo Calisa Akiwa na Miss Sinza Wakiwa Kitandani zavuja Mitandaoni

Stori: Gladness Mallya
KABAANG! Miss Sinza 2001 na aliyekuwa pia mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amenaswa akiwa kimalovee laivu kitandani na modo maarufu Bongo aliyejulikana kwa jina moja la Calisa.Picha hizo ambazo zinamuonesha Husna na Calisa wakiwa wamekumbatiana zimevuja kiitelejensia na kumfikia paparazi wetu kisha akawauliza kulikoni?  Ni wapenzi?

“Siyo kweli sina uhusiano na Calisa, sina boyfriend na sitaki mwanaume kwa sasa, Calisa ni rafiki yangu tu,” alijibu Husna huku Calisa akijibu:

“He hebu ngoja kwanza nitakupigia, hizo picha kaleta nani?”
GPL

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top