Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Ukisikia Kigali Rwanda…. ndio hii! picha zaidi ya 20 za mitaa mbalimbali ziko hapa

21Wataalamu wa mambo wanasema kwa jinsi mji wa Kigali unavyojengwa majengo ya kisasa wakati huu, miaka 10 baadae sifa itaongezeka maradufu kwenye list ya miji ya Afrika inayotolewa sana mifano ya kuigwa Afrika.
Pamoja na hayo, ni mji ambao ni msafi sana kimazingira, kuna usalama wa hali ya juu na ndio maana sio kitu kigeni kukutana na askari kwenye kila kona lakini pia vilevile sheria zinatekelezwa sana ambapo rushwa haina nafasi kabisa.
34Usalama wa kutembea usiku pia ni mkubwa sana, niliwahi kuingia night club na kutoka saa tisa na nusu na barabarani kukawa kuna askari wa kutosha kila kona, nilipouliza kwanini kuna watu bado wanatembea kwa mguu pembeni mwa barabara ndio nikapewa stori mwanzo mwisho jinsi ulivyo mkali.
35
2
3
4
5
6
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18Kingine nilichojifunza ni kwamba sheria ni kali hata kwa watu wa bodaboda, yeyote anaweza kujuta sana pale atakapokamatwa hajavaa helment.
19
20
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
36
37Kuna chochote ungependa kuchangia kwa maoni baada ya kuona hizi picha? niandikie kwenye comments hapa chini mtu wangu…
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top