Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MSIBA;MMILIKI WA MAN U AFARIKI DUNIA PICHA

Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne. Glazer aliyekua akiishi Palm Beach Florida Marekani, amekua akiugua kwa miaka kadhaa hivi sasa na biashara zake kama club ya Manchester United zimekua zikiendeshwa na familia yake.
Screen Shot 2014-05-28 at 11.38.55 PMSiku ya leo May 28 2014 ni mwaka mmoja umetimia toka afariki staa wa bongofleva Albert Mangweha ambapo leo hii dunia imepata misiba miwili mikubwa ambapo mmoja ni wa Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou pamoja na Malcom Glazer.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top