Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Umesikia kuhusu vijana wanaojiita Panya Road? walichokifanya jana kipo hapa

Jioni ya jana ni siku nyingine ambayo vijana wanaoitwa Panya Road wameingia kwenye headline baada ya kuleta vurugu ikiwa si mara ya kwanza kuanzisha vurugu hizi,unaambiwa wakati vurugu hizo zikiendelea mitaa hiyo kulikua na harusi lakini kutokana na vurugu hizo bwana harusi akamkimbia mkewe.
Vurugu hizi zilipungua usiku wa saa 4 na Asubuhi ya leo camera ya millardayo.com imepita maeneo haya na hii ni mitaa ya round about ya Kigogo.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top