
Kuna msemo mmoja wa waswahili husema, Panapofuka Moshimalizia mwenyewe______________ Mastaa hawa wawili wamekuwa wakizurura wenyewe kila mahali katika kusaka Vipaji na Team nzima ya TmT, sasa swali ni kwamba upigaji picha huu wa kila saa na kuzitumbukiza Insta
da kunanifanya nianze kuhizi kuna kitu kikubwa kinaendelea kati ya mastaa hawa wawili... Ok tuwe na subira kidogo inawezekana Joti aka replace nafasi ya Marhrmu Kanumba!!

Hiyo picha hapo juu ukitembelea Ac zao za Insta utaikuta wote wameiweka na kuzungumza vijimaneno tata kidogo, vikiashiria kuna kitu inaendelea kati yao!!!

Post a Comment