Wadau na Wapenzi wote wa Blogu Tajwa hapo juu yaani Hisia za Mwananchi na Tabasam Blog, Inapenda kuwajulisha kuwa Ifikapo Tarehe 12.06.2014 Saa 10.00 Asubuhi Blog Zote mbili Hazitapatikana kwa Link Hizo tena (http://rashidijuma.blogspot.com/ ) na (http://rajukaka17.blogspot.com/ )
Hivyo Tunaomba Radhi kwa Usumbufu utakaojitokeza kwa Wakati huo
Kuanzia Hapo Tutakuwa Tunapatikana Kama Ifuatavyo:-
Hisia za MwananchiItapatikana - http://Tutaiweka/
Tabasam Blog Itapatikana - http://Tutaiweka/
Hii inatokana na sababu zilizo Nje ya Uwezo wetu
Imetolewa Na Mkurugenzi Mtendaji
Ndug. Rashidi Juma
11.06.2014
Post a Comment