Kim na Kanye wapo kwenye mapumziko ya kifamilia pamoja na mtoto wao North West huko Puerto Vallarta Mexico. Wakiwa huko paparazi mmoja amewapiga picha kutoka mbali wakiwa kwenye ufukwe wa bahari.
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Thursday, 24 July 2014
Post a Comment