Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAAJAbU YA DUNIA KUTANA NA MTU ALIYE WAHI KWENDA MBINGUNI MARA 4,KAKUTANA NA "ELIYA,ABELI NA MUSA"PIA KACHORA RAMANI YA MBINGUNI


Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 65, anaetokea south Afrika kwa  zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na 2008 kwa mfululizo


Yote hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina wezekana malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana kisema ..
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top