Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mume wa mtu ni sumu….Binti afumaniwa na mume wa mtu na kupewa kichapo cha mbwa mwitu

4
Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.

Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzesei.

PAPARAZI , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.


Shuhudia  picha  hapo  chini
6 5 2 1


Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top