Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu


Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.

Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top