Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Alichokisema Ray C kuhusu kauli aliyopewa na TID.

Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao wa Instagram.TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na Ray C instagram kwenye moja ya post zake.Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.
Hii ndio kauli ya Ray C, Namnukuu “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema.(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa. 
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top