Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Diamond avunja ukimya na kusema anamkubali sana mziki anaoimba msanii huyu wa kike....

Diamond Platnumz amemtaja Vanessa Mdee kama muimbaji anayemkubali zaidi na ambaye anaona atafika mbali zaidi.
Vanessa-Mdee3
Akiongea na Baabkubwa, Diamond amesema hata jukwaani, Vanessa ni msanii anayejituma sana.
“Unajua wasanii wa kike wote wa hapa nyumbani ninawakubali ila namkubali sana Vanessa. Na hata nikikutana naye huwa namwambia kuwa ‘Vanessa unanipa imani sana kuwa tuna mwanamuziki wa kike ambaye naona kabisa anabadilika kila siku na anajituma sana hata akiwa kwenye stage’. Unaona kabisa ana juhudi zaidi maana Vanessa alikuwa akiimba kizungu sana lakini kila siku zinavyoenda anabadilika na anaelewa nini anafanya sio mtu wa kujitoa fahamu,” alisema.
“Kwahiyo nina imani ipo siku tutaona msanii wa kike kutoka Tanzania anafanya vizuri. Kwahiyo Vanessa namkubali sana na nina imani atafika mbali, ni mfano mzuri sana pia na kwa wengine kujituma zaidi na kuwa wabunifu wa kazi.”
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top