Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

EFA CHAMPIONZ LIGI: MOURINHO ACHEKELEA KWAO URENO, WASHINDA!

MATOKEO:
Jumanne Septemba 30
KUNDI E
CSKA Moscow 0 Bayern Munich 1
Man City 1 Roma 1
KUNDI F
APOEL Nicosia 1 Ajax 1
Paris St-Germain 3 Barcelona 2
KUNDI G
FC Schalke 1 NK Maribor 1
Sporting Lisbon 0 Chelsea 1
KUNDI H
BATE Borisovs 2 Athletic Bilbao 1
Shakhtar Donetsk 2 FC Porto 2
++++++++++++++++++++++++++
NANI-MOURINHOKwenye Mechi ya Kundi G la UEFA CHAMPIONZ LIGI iliyochezwa huko Ureno Usiku huu, Jose Mourinho alirudi Nchini kwao na kuiongoza Chelsea kushinda Bao 1-0 walipocheza na Sporting Lisbon.
Bao la Chelsea lilifungwa Dakika ya 34 kwa Kichwa cha Matic ambae ni Mchezaji wa zamani wa Benfica, Mahasimu wa Sporting Lisbon huko Ureno.
VIKOSI:
Sporting: Rui Patricio; Mauricio, Sarr, Silva, Cedric Soare; William Carvalho, Joao Mario, Adrien Silva; Carrillo, Slimani, Nani
Akiba: Marcelo, Jefferson, Andre Martins, Montero, Diego Capel, Rosell, Paulo Oliveira.
Chelsea: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry, Luis; Fabregas, Matic; Schurrle, Oscar, Hazard; Costa
Akiba: Cech, Zouma, Mikel, Salah, Remy, Willian, Azpilicueta.
Refa: Antonio Miguel Mateu Lahoz (Spain)
UEFA CHAMPIONZ LIGI
RATIBA MECHI ZIJAZO
**Mechi zote kuanza Saa 2145, Bongo Taimu, isipokuwa inapotajwa
Jumatano Oktoba 1
KUNDI A
Atlético Madrid VS Juvsentus
Malmö FF VS Olympiakos
KUNDI B
FC Basel VS Livserpool
Ludogorets Razgrad VS Real Madrid
KUNDI C
1900 Zenit St Petersburg VS Monaco
Bayer 04 Levserkusen VS Benfica
KUNDI D
Arsenal VS Galatasaray
RSC Anderlecht VS Borussia Dortmund
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top