Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MJUE MSICHANA MWENYE MATITI MATATU

download (13)
Ni msichana mwenye umri wa miaka 21 adaiwa kufanyiwa upasuaji na kuongezwa titi la tatu.
Kupitia mahojiano aliofanya radioni jasmine Tridevil ambae ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani anayejishughulisha na utoaji wa huduma ya massage (massage clinic), anadai kuwa ametuumia kiasi cha dolla za kimarekani 20.000$ sawa na shilingi million 33,4 za kitanzania kufanyiwa upasuaji huo.
Katika mahojiano hayo na Real Radio 104.1 ya marekani mwanamama huyo alidai kuwa sababu kuu ya yeye kufikia uamuzi huo nikutaka kupoteza mvuto kwa wanaume wakware kwani hataki kabisa mahusiano ya kimapenzi, lakini akidai kutaka kuwa staa kwenye Tv japo alipoulizwa atoe sababu kwanini hataki kuwa namweza hakutoa sababu yeyote.
jas_3046875c
Katika harakati zake za awali anasema ilikuwa ngumu Sana kwani takribani madaktari 50 walikataa kumfanyia upasuaji huo wakidai kuogopa kuvunja miiko ya fani yao hivyo kumchukua miaka miwili kumpata daktari aliyekuwa tayari kufanya upasuaji huo. Daktari ambae alifanikiwa kumfanyia upasuaj huo alichukua tishu katika tumbo la mwanamama huyo ili kutengeneza titi hilo la tatu
Akielezea daktari huyo“mbali na furaha alionayo mrembo huyo bado anadai titi lake hilo lililotengenezwa halina mwonekano sawa na yale mengine mawili (original)”.Tridevil analazimika  pia kujitengenezea  mavazi yake mwenyewe amabapo ananunua mavazi mawili yaani(sidiria) na moja kuikata na kuiunganisha ili kupata nguo itakayo kaa titi lake la Tatu.
Kwa sasa mwanadada huyo anarekodi video ambayo itaonyesha changamoto anazokumbana nazo akiwa Kama mwanamke mwenye matiti matatu hasa katika anayoishi.Mwanadad huyo anadai kutengwa ahata an ndugu yake mbae ni dada yake lakini pia Mama yake mzazi ambae ameonekaa kuchukizwa na kitendo hicho kisicho cha kawaida na kumkana kabisa kuwa sio mtoto wake na hamtambui.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top