Akizungumza na Mpekuzi wetu, Shilole alisema kuwa raha ya mapenzi ni kila mmoja kuwa na mwenzake bila kuwa na kizuizi chenya kuondoa ladha hiyo na baada ya kupima kila mmoja ameapa kutochepuka ili asilite maambukizi ndani ya uhusiano wao….
“Asikudanganye mtu, raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa, ikiwa na maganda inaondoa utamu ndio maaa mimi na mwenzangu tulilazimika kwenda kupima afya zetu na kila mmoja alibainika ni mzima hivyo tumeahidiana kutosalitiana ili tusileteane maambukizi”,alisea Shilole.
Post a Comment