Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Umoja wa Ma-Girlfriend Tanzania Watoa Tamko baada ya Diamond kutoa zawadi ya Gari kwa mpenzi wake Wema Sepetu


September 26 ilikua ni siku ambayo mrembo kutoka Tanzania Wema Sepetu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ndani ya siku yake hii ukitoa party aliyoifanya kulikuwa na vitu mbalimbali vya kuvutia. 

 
Siku hiyo Diamond platnumz aliamua kumzawadia zawadi ya gari mpenzi wake Wema Sepetu gari aina ya Nissan Murano.

Mbali na zawadi aliyoitoa Diamond Platnumz ya gari hilo pia Meneja wake Martin Kadinda nae alimpatia Wema Sepetu zawadi ya Gari aina ya BMW mpya kabisa ikiwa na namba mpya za sasa.

Sasa baada ya zawadi hizo kuonekana, Umoja wa Ma-Girlfriend Tanzania nao wameamua kutoa Ya moyoni kwa Ma-Boyfriend wao kuhusu birthday zao inapofika muda wa kusherehekea.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top