Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Vazi hili la Lulu ni balaaa lazua mzozo mtandaoni, hivi ndo alivyokua kavaa. Cheki picha hapa


Hakuna anaebisha kuwa mrembo na mwigizaji wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ni moja kati ya mastaa wanaokwenda na fasheni na huwa hakosei kwenye hili, yaani huwa yupo “on point”.
Lakini linapokuja swala la maadili na utamaduni wetu hapa watu ndio huwa hutofautiana juu ya mavazi wanaoyovaa dada zetu siku hizi.

Picha za  mwanadada Lulu akiwa amevalia kivazi ambacho kwa kiasi kikubwa kimemuacha miguu yake wazi zilisambaa kwa kasi sana mtandao hapo jana, hii ni kutokana na watu wengi kuzi LIKE na ku-SHARE.
Kama kawaida yetu wa bantu, japokuwa  wengi walitupia COMMENTS za kumsifia wengine pia waliponda uvaaji wa kanguo hako, na wengine kuanza kumtio kasoro, mbali na yeye mwenye Lulu kuandika mamaneno haya kwenye moja kati ya picha hizo.


 
“Sema nini.....tumiguu twangu tumenyooka hatuna kona...chaiiiii.. Na tumatege flani amaizing …Usinipanikie Mimi Lakini”by Lulu.
Kwa mtazamo wangu kwanza kabisa ni ukweli Lulu DIVA waukweli hapa mjini, sasa hilo swala la mavazi gani ndio ya maadili nawaachia nyie, mnalionaje hapa
Jionee picha hizo akiwa na kavazi hako hapo juu
 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top