Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAJONZI,SIMANZI NA VILIO...MBUNGE WA MBEYA MJINI SUGU AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUFI..............

Amri hiyo ya naibu spika, ya kumtoa nje bwana Mbowe  ilikuja mara baada ya Kiongozi huyo wa Upinzani bungeni kukataa kutii mamlaka ya kiti ya kukaa chini ili kupisha mjadala wa muswaada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba wa mwaka 2013, uendelee .
Kutokea kwa tafrani hiyo kulitokana na mbunge wa Mkoani, Bw. Ali Khamis Seif kuomba muongozo wa spika, akitaka hoja iliyokuwa mbele ya bunge ya kujadili muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba iahirishwe, na Naibu Spika kuamua kuitisha kura ambapo wabunge wasiounga mkono mjadala huo uahirishwe wakiwa wengi kutoka chama tawala CCM, walishinda.


Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Business

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


Gagdet

© Copyright 2025 T0T00 | Designed By Code Nirvana
Back To Top