Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Baadhi ya washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014 timu bora, kipa bora, mfungaji bora na pesa walizozawadiwa

Screen Shot 2014-05-27 at 10.17.53 PMZawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong’ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo ambae ni Vodacom Tanzania.
imetoa jumla ya milioni mia mbili sitini na mbili (262,000,000) kwa washindi wote ligi kuu.
Kocha bora msimu wa 2013/2014 ni Juma Mwambusi wa Mbeya City FC, golkipa bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Hussein Sharifu wa napata zawadi ya Tsh 5,200,000 na tuzo.
Mchezaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa anapata Tsh 5.2M, mfungaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Amisi Tambwe wa
timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni ambayo imezawadiwa Tsh 16M.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top