Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ni shiidah Unaambiwa hii ndoa ilidumu kwa siku 13 tu!

TZA NDOA YA SIKU 13Inaweza kuingia kwenye headlines kama tukihusisha countdown ya ndoa zilizodumu kwa muda mfupi tena zikifungwa kwa baraka zote kuanzia kwa wazazi hadi kanisani ambapo Bonface Oduor ambaye ndiye bwana harusi amesema >>‘alinisaliti baada ya siku 13 ya harusi yetu iliyofanyika weekend ya pasaka’
Bonface Oduor alimfumania mkewe akishiriki tendo la ndoa na mwanaume mwingine ikiwa ni siku 13 tu baada ya harusi yao ambapo alimkuta hotelini jijini Nairobi Kenya.
Wawili hao walikua wakirejea nyumbani baada ya honeymoon ya siku tano pamoja katika jiji la kifahari la Malindi pwani ya Kenya ambapo harusi yao ya kufana ilifungwa kwenye kanisa la Pentecostal Assemblies of God Diani Mombasa.
Oduor amedai harusi yake ilikua ni ya kupoteza muda na pesa na ameapa kutoishi tena na mwanamke huyo na kujihusisha na uhusino wa kimapenzi tena kwani hana imani tena na Wanawake.
Kuachana kwao pia kulifanyika kwa kasi baada ya kugundua kwamba Sarah alikua amesambaza picha zake za uchi kupitia WhatsApp.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top