Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Diamond platnumz halali: kupiga kolabo na msanii huyu wa Marekani ????????

Pamoja na mafanikio makubwa anayoendelea kuyapata, Diamond anazidi kujitengeneza connection kali za kimataifa.
Diamond-Platnumz-And-Kevin-Liles
Picha ya juu: Diamond akiwa na Kevin Liles, meneja wa Trey Songz, Big Sean, Estelle na wasanii wengine Katika kile kinachoonekana kuwa ni mazungumzo ya mwanzo wa safari ya kuelekea kuanza kufanya collabo na wasanii wa Marekani, Diamond amekutana na meneja wa Trey Songz, Big Sean na wasanii wengine wakubwa yaani Kevin Liles.
Mmoja wa watu waliopo kwenye timu ya Diamond, Salam wa SK Entertainment, ameshare picha ambayo Diamond akiwa na Kevin Liles na kuandika: “Don’t Ask Me Whats Next…. Please 2 Days to go… VOTE FOR @diamondplatnumz for MTV MAMA Awards BEST COLLABORATION AND BEST MALE
Jay-z-na-kevin-liles
Kevin akiwa na Jay Z
Kevin Liles alikuwa rais wa Def Jam Recordings na makamu mkuu wa rais wa The Island Def Jam Music Group kuanzia mwaka 1999 hadi 2004.]
kevin-liles-and-trey-songz1
Kevin na Trey Songz

Pia aliwahi kufanya kazi kama makamu mkuu wa rais wa Warner Music Group kabla ya kuacha na kuwa mjasiriamali.Ana kampuni ya menejimenti iitwayo KWL Management.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top