Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

katishaaaa:Kiatu hiki cha k-lyinn nizaidi ya bei ya gari bongo

Kiatu hiki cha k-lyinn nizaidi ya bei ya gari bongo

Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM…tumekutana na hiki kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN…..
K-lynn
Tunaamua ku-google bei yake….Duh kucheki bei yake tukachoka menyewe….ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)….Hehehe, sio ishu yote maisha…ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa…Kumbuka hiki ni kiatu tu, bado gauni, pochi…nywele….nk…Dah huyu si anatembe na milioni 10 kabisa…. Jionee mwenyewe hapa Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:
kiatu-cha-K-lynn

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top