Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Kuangalia mpira na Wanawake ni Shida.... Yaani Wana Maswali...!

mke: Mbona hawa Brazil hawamchezeshi
Neymar ??

Mme: aliumia mechi iliyopita, hawezi
kucheza

mke: mbona hawajamkodi MESSI??
Mme: hairuhusiwi kukodi..

mke: kwann asihamie Brazili?,..

mme: izo sio nyumba za kupanga kwamba
anahamia tu,mpaka uwe una uraia wa
Nchi yako.

Mke: mbona hadi wanawake wanacheza
umo uwanjani?

Mme :wapo wapi hao wanawake?

mke: si hao wa Brazil wenye nywele
ndefu?

Mme: hapana hao ni Wanaume,mmoja
anaitwa David Luiz,na huyo mwingine
WILLIUM

mke: Mbona hao wengine wanapiga Penalty
tano wenyewe?eti Refa anapendelea?

mme: hakuna Penalty hapo ni magoli,Brazil
wamezidiwa wanafungwa..

mke: Eti mbona Goli 7 ni nyingi na ni Dk ya
80, kwann refa hamalizii tu hapo si bingwa alishajulikana.

mme: sheria ya mpira mpaka Dk 90 zitimie..

mke: Huu si mpira wa miguu??

mme: Ndio we,nyie mnaonaje?

mke: mbona huyo mwingine anadaka na
mikono?

Mme: huyo ni kipa

mke: kwann huyu Kipa wa Brazil asikimbie
na mpira adi goli jingine alafu afunge
apunguze magoli au hajui huo ujanja?

Mme: kanyonyeshe mtoto ameamka...
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top