Wakaamua kuficha identity zao wakiwa matembezini mtaani.
David Luiz akavaa nguo kama sister wa kanisa katoliki kisha akaingia mtaani.
Mara akakutana uso kwa uso na bibi kizee mmoja,akasalimiwa...aaah!LUIZ mzima wewe?
David Luiz akakerwa na kitendo cha yule bi kizee kumtambua,akaamua kurudi gheto na
kuvaa kama binti wa kiislam,akapiga hijab na kuziba mpaka macho kabisa.Alipoingia mtaani,
akakutana na yule bibi tena uso kwa uso.Yule bibi hakumchelewesha,akamsalimu...m ambo vipi LUIZ,kila
unakoenda tunakutana,inakuwaje kuwaje?
LUIZ akanyong'onyea na kusononeka saana hata asiwe na ubunifu mpya wa kujihami.
Yule bibi akacheka saana kisha akamwambia LUIZ,ondoa hofu na mashaka,ni mimi NEYMAR!!

Post a Comment