Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Prof. Tibaijuka asema kwa sasa anachapa kazi aliyopewa na kukamilisha ilani ya CCM

Prof. Anna tibaijuka amefunguka kwa kusema anapambana na kuchapa kazi zake alizopewa na mh. Rais katika kutimiza ilani ya ccm 2010 / 2015.

Kauli hiyo imekuja baada ya kushauriwa na watanzania wengi ndani na nje ya nchi kuwa wangependa kupata rais mwanamke tena professor.

Wananchi hao waliendelea kwa kusema, prof. Tibaijuka ni mweledi wa kutosha ,muwazi, mchapakazi, asiejivuna na usomi wake, mzalendo, muadilifu na mpenda maendeleo ya mtanzania mmoja mmoja then taifa kwa ujumla.

Prof. Alisema kwasasa anachapa kazi za nchi na majukumu aliyopewa na mh. Rais dr. Jakaya mrisho kikwete katika kutimiza ilan ya ccm ili 2015 iwe ni mteremko.

 
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Followers

Navigation-Menus (Do Not Edit Here!)

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

www.CodeNirvana.in

Sponsor Ads close

Sponsor Ads


© Copyright T0T00
Back To Top