Mtangazaji Diva ambaye ni mmoja kati ya wanapiga picha za nusu utupu na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa upande wa Afisa mkuu kutoka tume ya kitaifa ya mawasiliano, Christopher Wambua, ameambia vyombo vya habari nchini humo kwamba watu wenye tabia hiyo ya kutuma ujumbe wa kingono pamoja na picha zenye watu walio uchi nao sheria itachukua mkondo wake.
Serikali nchini Kenya imeamua kuchua hatua hiyo kutokana na kuenea kwa matumizi ya simu za intanet ambapo watu hutumiana picha hizo kupitia miatandao ya kijamii
Post a Comment