Binti wa miaka 15 ambaye ni raia wa Argentina aliyetambulika kwa jina la Julia Alvarez amecharangwa usoni na mabinti wawili wenye wivu ili apoteze muonekano wake na kuonekana mbaya mbele za watu
Julia anasema alikuwa anatembea kurudi nyumbani akitokakea mji wa Juan Domingo Peron
huko northern Argentinian ndipo wasichana hao wawili walipomvamia na kumcharanga na
kisu na kiwembe mmoja akiwa na miaka 18 na mwingine 16
“Kila mtu anasema wewe ni mzuri sana, na leo hutoweza kuonekana mzuri tena
tukishamalizamana na wewe hapa na watu watakupatia majina mabaya” alisema Julia kwa
maumivu makali.
Post a Comment