PATA TATHMINI:
RATIBA MECHI ZIJAZO
**Mechi zote kuanza Saa 2145, Bongo Taimu, isipokuwa inapotajwa
Jumatano Oktoba 1
KUNDI A
Atlético Madrid VS Juvsentus
Malmö FF VS Olympiakos
KUNDI B
FC Basel VS Livserpool
Ludogorets Razgrad VS Real Madrid
KUNDI C
1900 Zenit St Petersburg VS Monaco
Bayer 04 Levserkusen VS Benfica
KUNDI D
Arsenal VS Galatasaray
RSC Anderlecht VS Borussia Dortmund
+++++++++++++++++++++++++++
HUKU wakiwa wamefungwa Mechi yao ya kwanza ya Kundi D la UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL huko Germany Bao 2-0 na Borussia Dortmund na pia kukabiliwa na Majeruhi kadhaa, Arsenal hii Leo wanatinga kwao Emirates kuwakabili Vigogo wa Uturuki Galatasaray huku wakijua ni lazima washinde.
Hali hii ilimfanya Meneja wao Arsene Wenger kuwapa Wachezaji wake changamoto kupiga kiki Msimu wao unaosuasua kwa kuwatandika Galatasaray.
Lakini Waturuki hao, chini ya Kocha wa zamani wa Italy, Cesare Prandelli, si lele mama na walianza Kundi hili kwa Sare ya 1-1 na Anderlecht.
Hali za Wachezaji
Arsenal
Aaron Ramsey na Nahodha Mikel Arteta, wote ni Majeruhi walioumia Mechi yao iliyopita na Tottenham na wanaungana na Majeruhi wengine ambao ni Olivier Giroud, Theo Walcott, Mathieu Debuchy, Nacho Monreal, Yaya Sanogo na Serge Gnabry.
Galatasaray
Galatasaray haina hata Majeruhi mmoja.
VIKOSI VINATARAJIWA:
ARSENAL: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Flamini, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Sanchez, Welbeck, Cazorla
GALATASARAY: Muslera, Sari, Kaya, Chedjou, Telles, Melo, Dzemaili, Inan, Sneijder, Yilmaz, Pandev
REFA: Gianluca Rocchi (Italy)

Post a Comment