kuna jamaa alikuwa anatembea na mke wa mjeshi. Siku moja mjeshi alipigiwa simu kuwa anatakiwa kurudi jeshini. Akavaa fasta nakumuaga mkewe. Alipoishia tu mke wake akamuita yule jamaa mwingine, jamaa akaja kavaa kila nguo nyeupe hadi viatu. Wakati wamekaa kitandani mara wakasikia mlango unagongwa. Mke wa mjeshi akamwambie yule jamaa apande juu ya dari, jamaa akapanda fasta. Mjeshi alipoingia akamwambia kuwa amesahau kitambulisho. Wakaenda kukichukua chumbani. Yule jamaa kwa bahati mbaya akadondoka, alipodondoka akamwambia mjeshi"Mimi ni malaika na nimekuja kwa mbingu hii na nitapita kwa mlango huu" mjeshi akamuacha aende
hahaha.....
hahaha.....
Post a Comment